Ufafanuzi msingi wa msago katika Kiswahili

: msago1msago2

msago1

nominoPlural misago

  • 1

    namna ya kusaga nafaka k.v. mahindi, mtama, n.k..

    mpaazo

Matamshi

msago

/msagɔ/

Ufafanuzi msingi wa msago katika Kiswahili

: msago1msago2

msago2

nominoPlural misago

  • 1

    ufanyaji wa kitendo k.v. cha kujamiiana baina ya wanawake.

Matamshi

msago

/msagɔ/