Ufafanuzi wa Msahafu katika Kiswahili

Msahafu

nominoPlural Msahafu

  • 1

    Kidini
    kitabu kitakatifu cha Waislamu kilichokusanya juzuu thelathini za Kurani.

  • 2

    mkusanyiko wa sura 114 za Kurani.

Asili

Kar

Matamshi

Msahafu

/msahafu/