Ufafanuzi wa msahala katika Kiswahili

msahala

nomino

  • 1

    dawa ya kuharisha.

    haluli

Matamshi

msahala

/msahala/