Ufafanuzi wa msako katika Kiswahili

msako

nominoPlural misako

  • 1

    tendo la kutafuta wahalifu au wanyama waharibifu k.v. nguruwe au simba.

Matamshi

msako

/msakɔ/