Ufafanuzi wa msalaba katika Kiswahili

msalaba

nominoPlural misalaba

Kidini
  • 1

    Kidini
    alama inayowakilisha kusulubiwa kwa Bwana Yesu Kristo.

  • 2

    Kidini
    ishara ya wokovu au msamaha wa dhambi kwa Wakristo.

Matamshi

msalaba

/msalaba/