Ufafanuzi wa msalheri! katika Kiswahili

msalheri!, masalkheri!

kiingizi

  • 1

    tamko linalotumiwa kumwamkia mtu, agh. wakati wa jioni au usiku.

Asili

Kar

Matamshi

msalheri!

/msalhɛri/