Ufafanuzi wa msalihina katika Kiswahili

msalihina, mswalihina

nominoPlural wasalihina

Kidini
  • 1

    Kidini
    Mwislamu ashikaye sana ibada na mwenendo mwema wa dini ya Uislamu.

Asili

Kar

Matamshi

msalihina

/msalihina/