Ufafanuzi wa msaliti katika Kiswahili

msaliti

nominoPlural wasaliti

  • 1

    mtu anayeshirikiana na maadui wa nchi yake; mtu anayefanya vitendo dhidi ya nchi yake.

    haini, mwasi

  • 2

    mtu anayechonganisha ndugu au majirani ili wakosane.

    mfitini, fatani, mtimbakuwiri

Asili

Kar

Matamshi

msaliti

/msaliti/