Ufafanuzi wa msamaha katika Kiswahili

msamaha

nominoPlural misamaha

  • 1

    tendo la kuwia mtu radhi kwa makosa aliyofanyiwa.

  • 2

    buriani, radhi

Asili

Kar

Matamshi

msamaha

/msamaha/