Ufafanuzi wa msamaria katika Kiswahili

msamaria

nominoPlural wasamaria

  • 1

    mtu anayemsaidia mtu asiyemjua, agh. wakati wa shida.

Asili

Kar

Matamshi

msamaria

/msamarija/