Ufafanuzi wa msanapiti katika Kiswahili

msanapiti

nominoPlural misanapiti

  • 1

    mti unaotoa utomvu mweupe kama maziwa na maua meupe yenye doa la manjano katikati; mbono kaburi.

    mmaka, mjinga

Matamshi

msanapiti

/msanapiti/