Ufafanuzi wa msandali katika Kiswahili

msandali

nominoPlural misandali

  • 1

    mti wenye magome yanayonukia vizuri sana yanayotumika kwa kujisingia.

Asili

Kar

Matamshi

msandali

/msandali/