Ufafanuzi wa msandarusi katika Kiswahili

msandarusi

nominoPlural misandarusi

  • 1

    mti wenye utomvu mzito ambao hugandishwa na hutoa sandarusi.

Asili

Kar

Matamshi

msandarusi

/msandarusi/