Ufafanuzi wa msawidi katika Kiswahili

msawidi

nominoPlural wasawidi

  • 1

    mtu anayeandika rasimu ya mwanzo ya maandishi fulani; mwandishi wa muswada.

Asili

Kar

Matamshi

msawidi

/msawidi/