Ufafanuzi wa mseja katika Kiswahili

mseja

nomino

  • 1

    mtu ambaye hajaoa au hajaolewa ingawa ameshafikia umri wa kufanya hivyo.

    mjane

Matamshi

mseja

/msɛʄa/