Ufafanuzi wa msengenyaji katika Kiswahili

msengenyaji

nominoPlural wasengenyaji

  • 1

    mtu mwenye kumsema mtu kwa ubaya wakati mwenyewe hayupo.

    duzi, mtesi, mtetaji

Matamshi

msengenyaji

/msɛngɛɲaʄi/