Ufafanuzi wa mshale katika Kiswahili

mshale

nominoPlural mishale

  • 1

    kipande cha mti kilichochongwa na kutiwa chembe ambacho hurushwa kwa upinde.

    mvi

  • 2

    alama chonge.

Matamshi

mshale

/m∫alɛ/