Ufafanuzi wa mshangao katika Kiswahili

mshangao

nomino

  • 1

    hali ya kuduwaa na kutojua la kufanya kutokana na jambo lililotokea.

    bumbuazi

Matamshi

mshangao

/m∫angawɔ/