Ufafanuzi wa mshawishi katika Kiswahili

mshawishi

nominoPlural washawishi

  • 1

    mtu anayemshawishi mtu au watu wafanye mambo.

Asili

Kar

Matamshi

mshawishi

/m∫awi∫i/