Ufafanuzi wa mshenga katika Kiswahili

mshenga

nomino

  • 1

    mtu anayetumwa na upande wa mchumba wa kiume kupeleka posa kwa upande wa mwanamke.

  • 2

    mjumbe wa habari maalumu.

    kijumbe

Matamshi

mshenga

/m∫ɛnga/