Ufafanuzi wa mshereheshaji katika Kiswahili

mshereheshaji

nominoPlural washereheshaji

  • 1

    mtu anayeongoza matukio mbalimbali ukumbini k.v. mahafali, harusi, n.k..

Matamshi

mshereheshaji

/m∫ɛrehɛ∫aʄi/