Ufafanuzi wa mshikabeti katika Kiswahili

mshikabeti

nominoPlural washikabeti

  • 1

    mchezaji mwenye zamu ya kupiga mpira katika kriketi.

Matamshi

mshikabeti

/m∫ikabɛti/