Ufafanuzi wa mshikaji katika Kiswahili

mshikaji

nomino

  • 1

    rafiki wa karibu wa mtu, hasa wa jinsia tofauti.

Matamshi

mshikaji

/m∫ikaʄi/