Ufafanuzi wa mshikaki katika Kiswahili

mshikaki

nominoPlural mishikaki

  • 1

    nyama iliyokatwa vipandevipande na kuchomekwa katika kijiti au chuma na kuchomwa.

Matamshi

mshikaki

/m∫ikaki/