Ufafanuzi wa mshikamano katika Kiswahili

mshikamano

nominoPlural mishikamano

  • 1

    hali ya watu kuwa na msimamo na ushirikiano wa karibu katika kutimiza azma fulani.

Matamshi

mshikamano

/m∫ikamanɔ/