Ufafanuzi wa mshindani katika Kiswahili

mshindani

nominoPlural washindani

  • 1

    mtu anayeshindana na mwingine katika jambo.

    mpinzani

  • 2

    mkaidi

Matamshi

mshindani

/m∫indani/