Ufafanuzi wa mshinde katika Kiswahili

mshinde

nomino

  • 1

    mtu ambaye hakufanikiwa katika mashindano.

Matamshi

mshinde

/m∫indɛ/