Ufafanuzi wa mshindi katika Kiswahili

mshindi

nominoPlural washindi

  • 1

    mtu aliyefaulu katika mashindano.

    jogoo, championi, bingwa

Matamshi

mshindi

/m∫indi/