Ufafanuzi wa mshindilio katika Kiswahili

mshindilio

nomino

  • 1

    tendo la kutia kitu kwa kugandamiza au kusukuma kwa nguvu; mjazo wa kitu kilichokwisha kujaa k.v. kutia mafusho kwenye bunduki kwa kutumia mdeki.

Matamshi

mshindilio

/m∫indilijɔ/