Ufafanuzi msingi wa mshindio katika Kiswahili

: mshindio1mshindio2

mshindio1

nominoPlural mishindio

 • 1

  ufumaji kitanda kwa shupatu.

 • 2

  tendo la kufuma nguo.

Matamshi

mshindio

/m∫indijɔ/

Ufafanuzi msingi wa mshindio katika Kiswahili

: mshindio1mshindio2

mshindio2

nominoPlural mishindio

 • 1

  ulaji wa chakula mara moja kwa siku.

  ‘Chakula cha mshindio’

Matamshi

mshindio

/m∫indijɔ/