Ufafanuzi wa mshindo katika Kiswahili

mshindo

nomino

  • 1

    sauti kubwa na nzito inayosababishwa na mgongano, mwanguko wa kitu kizito au mlipuko.

    ‘Mshindo wa bunduki’

  • 2

    hali ya kujua habari au kitu.

Matamshi

mshindo

/m∫indɔ/