Ufafanuzi wa mshindwa katika Kiswahili

mshindwa

nomino

  • 1

    mtu aliyefeli kufanikisha jambo alilokusudia.

Matamshi

mshindwa

/m∫indwa/