Ufafanuzi wa mshipi katika Kiswahili

mshipi

nominoPlural mishipi

  • 1

    mkanda wa kuvaa kiunoni.

    mkanda

  • 2

    uzi mrefu wenye meno mengi unaosokotwa kutokana na kamba za aina nyingi kama za miti, pamba, katani au nailoni ambao hutumiwa kwa kuvulia samaki.

Matamshi

mshipi

/m∫ipi/