Ufafanuzi wa mshirika katika Kiswahili

mshirika

nominoPlural washirika

  • 1

    mtu anayeshirikiana na wengine kufanya jambo la ubia.

    mbia

Matamshi

mshirika

/m∫irika/