Ufafanuzi wa mshirikina katika Kiswahili

mshirikina

nominoPlural washirikina

  • 1

    mtu mwenye kuamini na kupenda mambo ya uchawi na mazingaombwe.

    mnumanuma

Matamshi

mshirikina

/m∫irikina/