Ufafanuzi wa mshoni katika Kiswahili

mshoni

nominoPlural washoni

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kushona.

    ‘Mshoni wa viatu’
    methali ‘Mshoni hachagui nguo’

Matamshi

mshoni

/m∫ɔni/