Ufafanuzi wa mshoro katika Kiswahili

mshoro

nominoPlural mishoro

  • 1

    kitu kinachotia kisirani au dosari.

Matamshi

mshoro

/m∫ɔrɔ/