Ufafanuzi wa mshororo katika Kiswahili

mshororo

nomino

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    mstari wa ubeti wa shairi.

    ‘Ni kawaida ya tarbia kuwa na mishororo minne katika kila ubeti’

Matamshi

mshororo

/m∫ɔrɔrɔ/