Ufafanuzi wa mshubiri katika Kiswahili

mshubiri

nominoPlural mishubiri

  • 1

    mmea unaofanana na mkonge wenye majani manene ambayo yakikamuliwa hutoa majimaji ya rangi ya manjano yenye uchungu mwingi na hutumiwa kuwa ni dawa.

    msubili

Matamshi

mshubiri

/m∫ubiri/