Ufafanuzi wa mshumaa katika Kiswahili

mshumaa

nominoPlural mishumaa

  • 1

    mche duara uliotengenezwa kwa nta iliyogandishwa kwenye utambi wa pamba au kitambaa katikati kwa ajili ya kumulikia usiku.

Asili

Kar

Matamshi

mshumaa

/m∫uma:/