Ufafanuzi wa mshupavu katika Kiswahili

mshupavu

nominoPlural washupavu

  • 1

    mtu ambaye si rahisi kushindwa au mtu anayevumilia sulubu.

Matamshi

mshupavu

/m∫upavu/