Ufafanuzi msingi wa mshusho katika Kiswahili

: mshusho1mshusho2

mshusho1

nominoPlural mishusho

  • 1

    tendo la kuteremsha k.v. pumzi au kitu kilicho juu.

Matamshi

mshusho

/m∫u∫ɔ/

Ufafanuzi msingi wa mshusho katika Kiswahili

: mshusho1mshusho2

mshusho2

nominoPlural mishusho

  • 1

    tendo la kutoa manii.

Matamshi

mshusho

/m∫u∫ɔ/