Ufafanuzi wa msi katika Kiswahili

msi, mso

nominoPlural wasi

  • 1

    mtu asiyekuwa na.

    methali ‘Msi nacho hasidi wa mwenye nacho’
    methali ‘Msi wake ana Mungu’

Matamshi

msi

/msi/