Ufafanuzi wa msiba katika Kiswahili

msiba

nominoPlural misiba

  • 1

    jambo, tukio au hali inayosababisha mtu kuwa na huzuni k.v. kufiwa, kupotelewa na mali, kufikwa na ajali.

    huzuni, chonda, jitimai, ajali, majonzi, buka

  • 2

    kilio

Matamshi

msiba

/msiba/