Ufafanuzi wa msikivu katika Kiswahili

msikivu

nominoPlural wasikivu

  • 1

    mtu ambaye akionywa husikia na kuzingatia yale anayoelezwa.

    msikiaji

Matamshi

msikivu

/msikivu/