Ufafanuzi wa msimamizi katika Kiswahili

msimamizi

nomino

  • 1

    mtu mwenye dhamana ya kuangalia kwamba kazi au shughuli zinatendeka kama ipasavyo.

    mnyapara

Matamshi

msimamizi

/msimamizi/