Ufafanuzi wa msimamo katika Kiswahili

msimamo

nominoPlural misimamo

  • 1

    namna ya kusimama.

  • 2

    maoni ya mtu juu ya jambo fulani.

Matamshi

msimamo

/msimamɔ/