Ufafanuzi wa msimu katika Kiswahili

msimu

nominoPlural misimu

  • 1

    kipindi kirefu cha wakati ambapo jambo au hali fulani hutokea.

    ‘Msimu wa maembe’
    ‘Pepo za msimu’
    majira

Asili

Kar

Matamshi

msimu

/msimu/