Ufafanuzi wa msiribo katika Kiswahili

msiribo

nominoPlural misiribo

  • 1

    upakaji wa kitu k.v. rangi, wino au chokaa ovyoovyo.

    ‘Usifanye msiribo , paka taratibu’

Matamshi

msiribo

/msiribɔ/