Ufafanuzi wa msitiri katika Kiswahili

msitiri

nomino

  • 1

    mtu anayemfichia mwingine aibu yake.

  • 2

    mtu anayemsaidia mwingine katika shida ambayo ingemletea mtu huyo aibu.

Matamshi

msitiri

/msitiri/